JINSI YA KUPIKA BIRINGANYA


MAHITAJI
1.biringanya, karoti, pilipili hoho, nyanya, chumvi, pilipili, tomato paste, nazi, green beans, kitunguu maji, mafuta ya mboga, pilipili manga, binzari nyembemba,

JINSI YA KUPIKA 
Menya biringanya kisha likate vipande vidogo vidogo, tayarisha viungo vyako (nyanya, karoti,hoho,green beans, kitunguu maji.) injika sufuria jikoni, kaanga kitungu kikishaiva weka biringanya pamoja na green beans na chumvi, funika kwa muda kisha weka mchanganyiko wa mboga mboga na viungo. funika kwa muda wa dakika 10, kisha  weka tomato paste na nazi changanya vizuri acha vichemke kwa dakika kadhaa kisha tegua. mchanganyiko wako uko tayari kwa kuliwa.
unaweza kula na wali, ugali, tambi,  na chapati

Comments

Popular posts from this blog

Jinsi ya kupika pilau ya njegere

CHICKEN MASALA