MAKANGE YA KUKU

 JINSI YA KUPIKA MAKANGE YA KUKU

mkate kuku vipande, andaa vituguu maji, chumvi,mafuta, nazi, nyanya na maji.
chemsha mafuta kidogo yakisha chemka tia nyama yako ikichemka na kubadilika rangi weka vitunguu, karoti kisha nyanya na chumvi. mchanganyiko ukikolea na kuku wako kuiva tia tui la nazi na usifunike. baada ya nusu saa makange yatakakua tayari

Comments

Popular posts from this blog

Jinsi ya kupika pilau ya njegere

JINSI YA KUPIKA BIRINGANYA

CHICKEN MASALA