Jinsi ya kupika pilau ya njegere
Jinsi ya kupika pilau ya njegere Mahitaji 250 gram mchele wa basmati 1 kijiko binzali nyembamba (cumin seeds) 1/2 kijiko kidogo cha chai garam masala 1/2 kijiko kidogo cha chai coriander powder 1/4 kijiko kidogo cha chai turmeric powder 60 gram njegere za kuchemshwa 1 kitunguu maji chop chop 3 nyanya za kuiva nazo chop chop 1 kijiko kidogo cha chai tangawizi ya kusagwa 1kijiko kidogo cha chai kitunguu swaumu cha kusagwa 2 pili pili mbuzi, kisha kata vipande vidogo vidogo 60 gram korosho au karanga za kukaanga (sio lazima) 1 kijiko kidogo cha chai siagi au mafuta ya samli kwa ladhamajani ya giligilani na majani ya mint kwa kupambia na kuongeza ladha Jinsi ya kupika Weka kijiko kimoja cha mafuta ya kupikia kwenye kikaango kama ni samli au siagi, kisha garam masala, unga wa manjano, binzali nyembamba na unga wa corienda kaanga kidogo kisha weka kitunguu swaumu, kitunguu maji, tangawizi, pilipili mbuzi na nyanya zote ziwe chop chop vipande
Comments
Post a Comment