WALI WA KUKAANGA

MAHITAJI

Kwa wali na mbogamboja

Vikombe 2 wali uliopikwa
Vijiko 2 vya chakula mafuta ya kupikia
Kijiko 1 cha chai kitunguu saumu
Kitunguu maji 1 cha wastani
Karoti 1
Kikombe 1 maharagwe machanga
Kitunguu cha majani

Kwa sosi

Vijiko 2 vya chakula sosi ya soya
Kijiko 1 cha chakula mafuta ya ufuza (Ukipenda)
Kijiko 1 cha chai tangawizi (ukipenda)
Mbegu za ufuta (ukipenda)

Maelekezo


maji. Pika kwa dakikaAndaa viungo; katakata maharagwe, karoti, majani ya kitunguu na kitunguu maji vipande vidogovidogo sana; Twanga kitunguu saumu na tangawizi, weka pembeni
Kwenye kikaangio kikubwa katika moto wa juu kiasi, chemsha mafuta. Ongeza kitunguu saumu mpaka kiive, halafu uongeze kitunguu maji. Pika mpaka kiive
Ongeza karoti na maharagwe machanga. Pika mpaka viive kama utakavyopenda wewe
Ongeza wali changanya vizuri
Changanya sosi ya soya, mafuta ya ufuta na tangawizi kwenye bakuli, weka pembeni. Ongeza mchanganyiko wa sosi na kitunguu cha nyingine 1, ipua
Pakua cha moto

Nyunyizia mbegu za ufuta kwa juu ukipenda

Comments

Popular posts from this blog

Jinsi ya kupika pilau ya njegere

JINSI YA KUPIKA BIRINGANYA

CHICKEN MASALA